HII NI SEHEMU PEKEE AMBAYO WATUMIAJI WATAPATA FURSA YA KUTOA MALALAMIKO YAO
WATUMIAJI WOTE WA HUDUMA ZA USAFIRI WA NCHI KAVU NA MAJINI ,MNASHAURIWA KUFIKA KWENYE BARAZA LA SUMATRACCC PALE MNAPOKUMBANA NA MATATIZO YOYOTE AMBAYO YANAHUSIANA NA USAFIRI . KARIBUNI JENGO LA NSSF WATER FRONT GHOROFA YA SABA KATIKA MTAA WA SOKOINE DRIVE.
Holder of LL.B (Hons),MBA(International Business) and a PhD student on Corporate Management. Executive Secretary - SUMATRA Consumer Consultative Council
No comments:
Post a Comment